Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 9 September 2012

Nawatakia J'Pili yenye Baraka;Burudani-Angela Chibalonza na Franck Mulaja!!!!!!

WapendwanawatakiaJ'PiliyenyeBaraka,Upendo,Uvumilivu,Msamaha na Kujitoa.
MUNGU asimama katika kusanyiko la MUNGU;katikati ya MIUNGU anahukumu.
Neno la Leo;Zaburi:82:1-8.

MUNGU atubariki soote.

"Swahili NA Waswahili"
Pamoja Daima.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana kwa neno la leo na burudani uwe na jumapili njema pia na familia yako.

Rachel Siwa said...

Saande dada Kadala,Pamoja sana dada yangu!!!