Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday 15 May 2012

Siku kama ya Leo da'Masika na Bw'Jamal,Waliungana na Kuwa Mke na Mume. Burudani: Nitadumu nae!!!!

                                  Nakuvisha/kuvalisha Pete[Pingu] hii..............
                                     Bwana Jamal James Umekubali..............
                                  Mke mkeo kaka J .J
                               Mama Masika katikati, Hongera mama.
                    Mwenyewe da'Masika, Raha jipe Mwenyewe!!!
                                  Mwenye Bw'J.J.Mwakitalu.
                           Shughuli Watu na Watu Walikuwepo.
BIBI na BWANA MWAKITALU.
Na Wamejaaliwa kupata Watoto Wawili
.
Tunawatakia kila lililo jema katika Maisha yenu,Mungu azidi kuwabariki na Ndoa hii Idumu!!!!

Kama una lolote unataka kushiriki nasi, tuma kupitia Email.rasca@hotmail.co.uk
                         Pamoja sana Waungwana.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongereni!!

emuthree said...

Twawapa hongera sana. Tupo pamoja ndugu wa mimi...tupe vitu!

Anonymous said...

wamependeza ila hii style ya kupaka rangi juu ya macho sijui imekaaje? kuiga si vibaya ila ni vizuri kuiga jambo linaloendeana. Harusi ni nzuri