Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 12 May 2012

Chaguo la Mswahili Leo;Kutoka kwa Familia ya Penza.Burudani;Diamond - Moyo wangu,Mbagala,Mawazo!!!!!Diamond na Chance
Diamond na da'Phoibe[Mwana Penza]
Waungwana Leo sipo mbaali sana,yaani si za Kale,Kijana anabamba/anafanya vyema katika Kazi yake, au vipi.
Jee wewe Muungwana Kijana Almasi anakubamba/unapenda kazi yake?Zaidi ni Sauti,Maneno,Muonekano,Uchezaji, Manjonjooo kama si Vionjooo?

Twende Sootee sasaaa, Moyo Wanguuu ooh Moyo wanguuu oooohhh.....Makuti na Mkoleeeeee duuhh mpaka Mkoleeeee!!

Pamoja sana na muwe na J'Mosi njema!!!!!!

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Diamond miziki yake ndio yangu naipenda sana. Ahsanti sana mlongo wangu!

Rachel siwa Isaac said...

Segwiliii hahaha nimepatia? Sipati picha hapo dada yangu unavyoyarudi mangoma hayo, mimi nipo hoiii hapa, jee naweza pata kaulanzi hapo? Pamoja sana wako Kachiki!!!

Yasinta Ngonyani said...

he he he ww Rachel unakunywa ulanzi sipati picha kukuona ww na robo ya ulanzi. eti eehh tiwuka lepi mpaka timalayi ugimbe eehhe... haya bwana wewe Kachiki ha ah aha haaaa nimecheka kweli. oh! sema USENGWILI SIO Sengwili bana wewe:-)

Phoibe Mshana said...

hahahaha mdogo wangu nimeipenda sana hii imetulia. saafi sana lov u