Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 19 May 2012

Chaguo la Mswahili Leo;Celine&R.kelly- I'm Your Angel, The Step in the Name of Love. Na nyingineee!!!



 Waungwana Nawatakia j'Mosi yenye Amani na Furaha daima!!.
Leo ngoja Tuangalie/twende Pande hii.
 Sina Mengi Zaidi Nakusikiliza wewe tuu.Baada ya Burudani, Umekumbuka nini,Umeguswa,Umefurahi,Umenuna au? "Swahili na Waswahili" Pamoja sana

6 comments:

Mija Shija Sayi said...

Toto la Iringa uko juu dadake..

Ubarikiwe wewe na familia yako..

Yasinta Ngonyani said...

J´mosi iwe njema na furaha kwako pia familia. Mimi leo furaha yangu iko bustanini ndo nimeanza kulima leo, nitapanda figili kutoka njomb pia mabogo (nyamuza)na mchicha:-)

EDNA said...

Jumamosi njema kwako pia mwanakwetu,Hizo nyimbo zimenibamba leo.

Mtani said...

Da Mija asante sana kwa kunisaidia kutegua kitendawili maana Kachiki alikuwa anakong'oli nyanji zoti ... Kachiki naomba wimbo maalum kutoka Ubena "Vakinoma".

Weekend njema kwa wote!

Simon Kitururu said...

Hiyo picha yako DADA wa MIMI yani ni Mwaaaaaah!

Rachel Siwa said...

Ameen Mwana Sayi, Tubarikiwe sote dadake!!!!

@Da Yasinta hongera kwa kupata mbegu za Figiri na usisahau kumpatia da'Mija apande mimi nitawasaidia kuchuma!!!

@Mwanakwetu hahaah Zimekubamba eeh nimefurahi kama nimekugusa da'Edna.

@Mtani;hahahahahha chambua chambua tuu humu nilishaiweka hiyooo,Duuhh hiyo ikose tena? ngoja nitakuweke zaidi.

@KAKA wa MIMI SIMON wa KITURURU Asante sana!!!!!