Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 13 April 2012

Chaguo la Mswahili Leo;Swahili Taarab Bi Malika - Sitaki sitaki na Vidonge,Isaa Matona-Msumeno!!

Waungwana Mwajionaje na Khariiii?Teheheheeheh .Nimatumaini yangu woote wazima,Leo nimewaletea Taarab za Zamani kidogo,Hizi Taarab hasa hizi za Zamani zinamafumbo sana, yaani kunamaneno mengine unaweza usiyaelewe anamaanisha nini.
Jee wewe ni mpenzi wa Taarab au huwa unasikiliza/kuangalia au kucheza?
Unaona tofauti gani kati ya Taarab za Zamani na sasa na jee Unafikiri Taarab za Zamani Zinamvuto zaidi ya sasa au Za Sasa Zinamvuto kuliko za Zamani?
Karibuni sana kama hujahi kuzisikia Leo jaribu, na Wapenzi wa Taarab Jimwageni Uwanjani au...Swahili na Waswahili.Pamoja sana tuu!!!!!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

jamnai wivu mwaona mi silali peke yangu mmzidi kusonona.... haya haya haya... ama kweli kuna maneno mengine ni vigumu unavyoelewa wewe kumbe sio...