Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 21 April 2012

Chaguo la Mswahili Leo;Professor Jay -Anasema- hapo vipi?kama Ipo,Ndiyo Mzee!!!!!!!

Nawatakia J'Mosi Njema yenye Amani,Upendo,Uvumilivu na Umoja!!!
Burudani na Maneno muruwaaa kutoka kwake Mswahili Professor Jay-Msikilize kwa makini.NDIYO MZEE!!.
Pamoja Sana, Hapo Vipi?

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nawe pia uwe na jumamosi njema! hapo vipi hapo sawa..nimependa hii. Usengwili mlongo= Ahsante ndugu wangu!!

Rachel siwa Isaac said...

Ahsante sana dada wa mimi!!hahahahah Hapo Sawaaaaaaaaaa!!!!Sande behh Kadala.