Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 3 January 2012

Waswahili na Maisha yao -Coventry Swahili Party/Mwaka Mpya[part-1]!!!
5 comments:

Anonymous said...

wapendwa inaonekana mlikuwa na wakati mzuri sana jamani nimekosa nilialikwa nikaambiwa eti kiingilio upendo wa kweli Mwenyezi Mungu awajalie sana wapendwa pamoja wakati wote

Maggie said...

Ni vizuri ndugu wakikutanika wakala na kufurahi pamoja, nawatakia wote mwaka mpya wenye heri na mafaniko tele.

Yasinta Ngonyani said...

Inapendeza kwa kweli na kweli inaonekana mlikuwa na wakati mzuri kweli...

EDNA said...

Hongereni na mlipendeza kwelikweli

Swahili na Waswahili said...

Ahsante sana Wapendwa, Mungu awabariki wote,kweli tulikuwa na wakati mzuri sana, kucheka,kuongea,kucheza,kutaniana,kukumbushana ya zamani na mengine mengi sana,Nivyema wakati mwingine kuchanganyana na watu tofauti.Mungu ni Pendo.........