Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 22 January 2012

Nawatakia J'pili Njema,Pata kibao-Bwana Yesu Nakupenda!!!!!!

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Domika yabwina wa mdala veve! bwana Yesu nakupenda...kweli watu wamebarikiwa kwa sauti...

sam mbogo said...

Dada,Rachel shukrani kwa wimbo mtamu kama bigiji. kaka s.

Anonymous said...

Ubarikiwe mpendwa kwa kusababishia jumapili ya leo kuwa nzuri sana kwangu huwezi jua maneno ya huu wimbo yalivyo hamsha hisia za kumsifu Mungu siku ya leo yaani nimeusikiliza zaidi ya mara kumi na kumchezea Yesu kwa furaha jumapili njema na kwako pia

Rachel Siwa said...

Mbarikiwe sana sana wapendwa!!!!