Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 1 December 2011

Jikoni Leo ni Dagaa!!pata na Burudani; Usiniseme-Ali kiba!!!!!!!

           Kitu Dagaa kipo Jikoni
Mimi Napenda zaidi na Ugali,Dagaa kila mtu anaupikaji wake, Mimi wa Chukuchuku,Mafuta Poa tuu,Lakini wa kuungwa/kuwekwa Nazi au Mawese wamenishinda!!Je wewe Mpendwa unapenda Dagaa? Unapikaje na Unapenda Kula na nini na kushushia na kinywaji gani?Karibuni sana Waungwana!!!USINISEME KAMA NAPENDA KULA!!!

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Huu ni uchokozi....haya basi nifungulie mlongo....nia sima yangu

Swahili na Waswahili said...

Hahaahah my dada Yasintaaaaaa karibu sana tule jamani kizuri kula na Nduguyo,lakini na wimbo umeusikia?

Mfalme Mrope said...

mwe wajameni dagaa nimewawaza hao leo... haya tukaribishe basi na hatutakusema!!

Goodman Manyanya Phiri said...

Dagaa kwangu ni pamoja na wali tu. Lakini ukinipa pamoja na ugali wafikiri nitakataa? Lahasha!!!

Yasinta Ngonyani said...

Nimesikiliza na nimecheza pia..usinisemee, usitengeee, usinishangaee..weeeeee..ila umenitamanisha kweli...