Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 19 November 2011

Nawatakia Weekend Njema,NASEMA AHSANTE na Sarah Kiarie,Burudika!!

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

ahsante sana Rachel kama wimbo usemavyo. Nami nakutakia nawe pia wikiend njema pamoja na familia na kila atayepita swahili na waswahili:-)

Mija Shija Sayi said...

Yasinta nimeipenda hiyo, nami naomba niiige tena si leo tu bali kila siku..

Nawatakieni kila la heri na wikiendi njema kwa kila atakayepitia blogu hii..

Rachel kawimbo kananikunaga sana haka. Eti huyu Sara ni Mkenya au MTZ?

Goodman Manyanya Phiri said...

Asante sana, Dada yetu, Rachel!

emuthree said...

Na wewe pia wikiendi njema ndugu yangu

Rachel Siwa said...

Asanteni sana nanyi Wapendwa!
@da'Mija wimbo mzuri,huyu ni Mkenya dadake!!

Yasinta Ngonyani said...

Mija wala usijali we karibu tu nafurahi kama umeupenda huo msemo:-)