Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 17 July 2011

Sandra Atimiza miaka 13!!!!!!

                                 Sandra-Neema, akishangaa duh13!

                         Leo natimiza 13,kweli siku hazigandi,kaka Brian akihakikisha.
                    Sandra na Tracey, mwenzangu tumekuwa sasa.
                 Wageni kutoka Birmingham nao walikuwepo.
                               Dada Damari akisimamia watoto wa Swahili Fellowship.
                   Joel,Jolin na Tracey katika poziiiiii.
                     Manjula,Eireen,Shambara na mgeni wao hawakukosa.
                        Miriam na kaka Ebeneza nao walikuwepo.
                                      Sandra &Tracey wakishukuru wageni kwakuwa nao pamoja.
                   Mama na Sandra Tunamalizia.
Familia ya Isaac tuna Mshukuru sana Mungu kwa Yote aliyotutendea,Pia tunawashukuru wote mlio jumuika nasi kwa namna moja au nyingine.Shukrani za pekee kwa Uongozi wa Watoto wetu Coventry Swahili Fellowship,Chini ya Mwenyekiti Da'Mija na msaidizi wake da'Damari.
Mungu awabariki  wote na Tunawapenda sana.

9 comments:

Anonymous said...

Happy B'day Sandal.mungu akukuze ,ameen

Mija Shija Sayi said...

Rachel, Sandra kakuacha mbali sana kwa mapozi...cheki picha ya mwisho ya mama na mwana...

..ama baada ya ujumbe huyo sina budi kukupongeza kwa kukuza, hapo umeshajikomboa punde kaka yao atakapowasili wasaidizi unao...

@Sandra, Hongera sana kwa kufikisha 13, huu ndo wakati wa kuwaonyesha wazazi kwamba walipata mtoto, sasa fanya juhudi sana ktk masomo yako ili uwe mfano kwa wengine.. Tunakutakia kila la heri katika maisha yako.

Baraka kwenu.

emu-three said...

Hongera sana Sandra, twakutakia mafanikio mema...HAPPY BIRTHDAY TO YOU!

Anonymous said...

HONGERA SANA SANDRA WEWE NI MTOTO MZURI,MPOLE,MCHESHI NA MTIIFU MUNGU AKUONGOZE UFANIKIWE KIMASOMO NA WAZAZI WAKO WAZIDI KUFURAHI.
WATOTO WA FELLOWSHIP JAMANI WAMEPENDEZA WAMEZOEANA SANA,MUNGU AWABARIKI WAZIDI KUPENDANA
MAMA NA BABA SANDRA HONGERA KWA KUMKUZA SANDRA.

FROM MAMA BRIAN-RENATA

EDNA said...

Hongera sana Sandra.

Swahili na Waswahili said...

Asanteni sana Wapendwa na Mungu atubariki sote!

@da'Mija hahahhhhaha mwenzangu pozi zetu za mwaka 47 za dole, umeona nimesimama kama nasuburi mwalimu wa zamu anichape nimechelewa namba!!!!!!

Mama Briana-Renata,Tufikishie salamu za Kheri na baraka kwa kuongeza nae mwaka Mw'Kiti mwambie mnusooo tunasubiri!!!!!!

Goodman Manyanya Phiri said...

Nimechelewa, hata hivyo HONGERA SANA, SANDRA!


Thirteen is a great number because all it takes now is a holy-numbered period of SEVEN years (AND PERHAPS yet ANOTHER SEVEN YEARS IF U ARE NOT ENTIRELY SATISFIED WITH A SHORT CHILDHOOD OF 20 YEARS HA HA HA)to take you to 27, a number that puts the door of full adulthood only an arm's length from you!

MIMI NA FURAHIA TU KWAMBA MIAKA KAMA KUMI IJAO, KWA HUYU SANDRA TUTAKUWA NA MWANADADA MWENYE KUTUPATIA SULUHISHO NYINGI KWA MATATIZO YETU MACHACHE...(maana yake nimedokezwa tayari huyu mtoto anapendelea vitabu vyake vya shule kuliko television... HONGERA SANA!!!)

mumyhery said...

happy birthday Sandra

Swahili na Waswahili said...

Kaka/Mjomba Manyanya Ahsante sana kwa maneno yako mazuri,Mungu awenasi pamoja!

@da'/ma; mkubwa/mdogo Mariam[mumyhery] Ahsante sana!!!!!