Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday, 19 April 2011

Nderemo na Vifijo kwa Amri Kamala na Rehema Penza!!!!!!!!


 Siku ya Siku ilipowadia kwa Amri Kamala na Rehema Penza.Wamekuwa  Mke na Mume.
Kwaniaba yangu na Familiya yangu na Wapenzi wa Blog hii.Tunawatakieni Maisha Mema yenye Amani,Baraka,Upendo,Huruma na Kumcha Mungu.

9 comments:

Mija Shija Sayi said...

Hongereni sana, Mungu awajaalie upendo hata milele.

Edna Lwanji-Amir said...

hongereni mungu aitangulie ndoa yenu

Melanie said...

Mungu awape maisha marefu yenye amani na upendo.

Yasinta Ngonyani said...

HONGERENI SANA. Upendo utawale nyumbani mwenu!!

chib said...

Kila la heri na baraka

Mzee wa Changamoto said...

Wamefunga HARUSI ama NDOA?
Nawaza kwa sauti tuu

SIMON KITURURU said...

Hongera zenu jamani na kila la kheri kwenye mchakachaka wa maisha!

mumyhery said...

Hongereni jamani twawatakiamaisha mema mapya, yanye furaha na afya tele

Swahili na Waswahili said...

Asanteni sana wapendwa kwa niaba yao!