Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Monday 9 September 2013

REVIVAL GOSPEL CONFERENCE.!!!!


Wapendwa katika Kristo Yesu, tunakaribisha wote walio miji jirani kuhudhuria kongamano hili kubwa lenye baraka, Kutakuwa na wahudumu mbali mbali watakaoshiriki na kufundisha kuhusu Ukuu wa Mungu, walete watu wenye mahitaji mbali mbali nao wataenda kuguswa na Nguvu za Mungu. Chakula kitakuwepo,

Watakaosafiri na kutaka Maelekezo jinsi ya kufika tafadhali wasiliana nasi

484-751-7038

Barikiwa.

Kwa Maelezo zaidi ingia;

Sunday 8 September 2013

Tumalizie J'Pili hii Vyema na Amani;Burudani-Upendo Kilahiro!!!!

Tumalizie J'Pili hii vyema na Amani.....MUNGU  na atufadhili na  kutubariki, Na kutuangazia uso wake.

Neno La Leo;Zaburi:66:1-7..MUNGU atubariki sisi;Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.







"Swahili Na Waswahili" MUNGU ni Mwema Sanaa.

Wednesday 4 September 2013

Mswahili wetu Leo;Prof.Ahmed Nabhany- Jukwaa La Mashairi


Waungwana; Jukwaa La Mashairi.Jukwaani Leo na Mshairi,Mswahili wetu ; Prof.Ahmed Nabhany, Anatuchambulia tofauti ya   Mashairi.
Wewe unapenda Mashairi? ni Mtunzi /unajua  Mashairi,Ngonjera au?

Karibu Sana.......






"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.

Monday 2 September 2013

Unaijua Hii? Si Ya Kukosa kabisa ni-FAHARI PASSION 2013!!!!!!

FAHARI PASSION 2013

Tanzania Women's Association (TAWA)

Saturday, 7 September 2013 at 18:00 - Sunday, 8 September 2013 at 00:00 (BST)

London, United Kingdom




You are cordially invited to a fashion showcase to present a collection of upcoming Tanzanian designers who will be given the opportunity to participate in the International Fashion Showcase 2014 in conjunction with London Fashion Week Feb 2014.

This is a ticket only event. Please follow the link to get tickets.
www.faharipassion2013.eventbrite.com

If any tanzanian upcoming jewellery or fashion designer would like to get involved message the TAWA page

or email info@tawa-uk.com

or contact:

Rose Kiondo - +447881098020
Sara Abood - +447908185618
Monique Ferguson-Rowe - +447949267007
Mariam Mungula - +447770910901

Thanks and we hope to see you there!

Sunday 1 September 2013

Nawatakia J'Pili njema ;Tusifu na Kuabudu-Burudani-How Great Thou Art,Great is thy Faithfulness,To GOD be the Glory!!!!!!



Wapendwa sina Maneno Mengi ni Kusifu na Kuabudu..MUNGU wetu ni Mwema Saana;[14]Zaidi ya hayo yote jivikeni Upendo,ndio kifungo cha ukamilifu.

[16]Neno la kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote,mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni;huku mkimwimbia MUNGU kwa neema mioyoni mwenu.









Neno La Leo;Wakolosai:3:12-17.Na kila mfanyalo,  kwa neno au kwa tendo,Fanyeni yote katika jina la BWANA  YESU,mkimshukuru MUNGU BABA kwa yeye.

"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.

Saturday 31 August 2013

Chaguo La Mswahili Leo;Makoma!!!!!!!



Waungwana;Mmmhhh Hawa ni "MAKOMA"Hili ndiyo "Chaguo La Mswahili Leo" Moooto.. Nawakubali.. Maneno Meengi sina Leo Nasikilizia kutoka Kwenu..Twende Sote  sasa -Butu Na Moyi na...Endeleaaa.







"Swahili Na Waswahili" Pamoja Sana

Wednesday 28 August 2013

Wanawake Na Majukumu;Vipaji/Ubunifu!!!!!









Waungwana;Wanawake Na Majukumu;Vipaji/Ubunifu/Ujuzi..

Wapo Wanawake weengi sana wanajua Vitu/Mambo Mbalimbali lakini Hawajulikani.

Unafikiri ni Kwanini?
Wewe mwenzangu unajua/Una kipaji/Ujuzi Gani /nini?

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima