Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday 5 January 2012

Waswahili na Maisha yao-Coventry Swahili Party/Mwaka Mpya[shukrani]!!!



                             Asanteni sana  Swahili dadazzzz.
                                   dada Esther Asante.
                                      Wapendwa Mungu awabariki sana.
                                       Mbarikiwe Malongazzzzz.
                                    Ahsante sana mamaKisa.
                                       Ahsante sana Dj Rik/blogger wa the network.





                   Chakula; Nyama choma na vyote,Vimepikwa kwa  da'Batuli.
Ahsanteni sana wote kwa Upendo na kutoa Muda wenu kwa kujumuika nasi ,  Mungu awabariki sana,Tunawatakia kila lililo jema.Kwaniaba ya da'Maggie ,da'Vick na Familia yangu,TUNAWAPENDA SANA.


Tuesday 3 January 2012

Waswahili na Maisha yao -Coventry Swahili Party/Mwaka Mpya[part-1]!!!
























Waswahili Wakijichanganya -Mkesha wa Mwaka mpya,Hebron Church!!!

                                      Ibada.
                                          Ibada.
                                          Utamaduni.
                                   Michezo mbalimbali.
                                                Mchukua matukio,da'Tracey.
Ahsante sana Mungu kwa Ulinzi wako,Wewe watosha maishani mwetu.
Mungu awabariki wote,Muwe na wakati mwema kila iitwapo leo.
       MUNGU NI PENDO,NASI TUNAWAPENDA WOTE!!!