tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post9146250531935158094..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Pozi la leo!!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-14856598375187423992011-03-28T15:44:51.628+01:002011-03-28T15:44:51.628+01:00Da Mija sipati picha hizo pozi sasa mkono kwa shav...Da Mija sipati picha hizo pozi sasa mkono kwa shavu au kiunoni!!si rushe wangu tuone pozi!!

@kaka Kitururu hiyo picha yako nilipata studio moja pale Morogoro ulipiga picha halafu hukutaka kulipia wangu!
mwaga mistori ya utoto wako na picha kaka Kitururu!!!!!

Asanteni sana

na wengine jee?Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-12246315900579865152011-03-26T00:01:03.241+00:002011-03-26T00:01:03.241+00:00Rachel umetoa wapi picha yangu?:-)
Picha za studi...Rachel umetoa wapi picha yangu?:-)

Picha za studio zaninkumbusha Mbeya utotoni.
Picha za zamani zanikumbusha mengi yani ,...
...nikianza simulizi sitamaliza!:-)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-41650581722003967392011-03-25T22:53:20.602+00:002011-03-25T22:53:20.602+00:00Mimi mapozi yoote ya studio yananikumbushaga Gilya...Mimi mapozi yoote ya studio yananikumbushaga Gilya Studio, studio hii ilikuwa maarufu sana Mwanza miaka hiyo. Yaani ikitokea ukaona picha zangu au za watu wengi waliokaa mwanza miaka ya sabini na themanini basi geuza nyuma utakutana na muhuri wa Gilya studio. Kwa ufupi hadi leo picha zote za studio naziitaga picha za Gilya.

Rachel hii ndo kumbukumbu yangu juu ya mapozi ya studio..Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.com