tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post9111707379730474602..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Swali kutoka kwa Mwanamke wa Shoka[da'Mija] na Blogger wa Kwanza Mwanamke Mswahili!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-28647790726037996932012-05-03T12:45:46.436+01:002012-05-03T12:45:46.436+01:00Ameeeeeeeeen dada Mija!!!!!!Ameeeeeeeeen dada Mija!!!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-87459981718233455582012-05-03T12:44:02.513+01:002012-05-03T12:44:02.513+01:00Waungwana Ahsante sana sana kwa michango,Maoni na ...Waungwana Ahsante sana sana kwa michango,Maoni na Ushirikiano wenu katika kijibu swali hili.Kwaniaba ya da'Mija[Mwanamke wa Shoka] Tunawashukuru mnoo!!!!Mbariwe wooote na Pamoja sana.

Pia kama unalolote au wewe bado hujasema chochote ukijuacho, hatuja funga mlango, unaweza kutoa maoni yako,JIMWAGE TUU MUUNGWANA!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-40494842389241181542012-04-27T09:10:20.795+01:002012-04-27T09:10:20.795+01:00Da'Mija ni mwanamke wa shoka hiyo hujakosea, k...Da'Mija ni mwanamke wa shoka hiyo hujakosea, kwakweli mwanaume akiwa anajua kazi zote za ndani anaweza kuoa haraka au akachelewa, ila akioa mwanamke ujipange utakosolewa kila mara ila faida utapata kubwa atakusaidia kwa vingi sanaInterestedtipshttps://www.blogger.com/profile/02727400010351986238noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-42482032166820124962012-04-27T08:09:36.025+01:002012-04-27T08:09:36.025+01:00Nilikuwa sijajibu swali maana mtandao no unashida ...Nilikuwa sijajibu swali maana mtandao no unashida zake,....swali lilijificha:

Kwanini wanaume wanaoa,pia unaweza kuigeuza hivi, kwanini wanawake wanaolewa:
Kwanza wote tunamuamini mungu, au sio hata kama unaamini kwa kupitia njia nyingine, lakini hatima yake ni huyo muumba. Tunaoa kwa sababu mwenyezimungu katuambia tuoane ili tukaijaze dunia....!
Mambo mengine ni kusaidiana tu, kwasababu huwezi ukazaa peke yako, lazima kuwa na mwenzako, kuwa na mume na mke,...unaweza kuweka unavyoweza.
Swali linakuja baadaye ndio tumeambiwa tuoane ili tukaujaze ulimwengu, kwa vipi, hapi ndipo zinakuja sheria, jinsi gani ya kuoana,na mengineyo.
Je mkishaona itakuwaje,...tukarahisishiwa kuwa kuna muoaji na muolewaji, na ukiangalia hapo,utaona taratibu nyingi, muoaji ni mwanaume,na muolewaji ni mwanamke,hata kama kuna wengine wanaotoa mahari ni wanawake,....lakini anayeolewa ni mwanamke.
Kiasili,wanadamu tumeumbwa na vipaji , kuna vipaji vya asili, mwanamke, kajaliwa kupika ....na mwanaume kajaliwa kufanya kazi za nguvu....hata ukiangalia maumbile...ingawaje inaweza ikatokea vinginevyo.
Kiutaratibu lazima mnapokutana zaidi ya mmoja, kuna takiwa kuwe na kiongozi, kunatakiwa kuwe na taratibu za kikazi, sasa itakuwaje kati ya wanandoa hawo, haina shida, tunakwenda moja kwa moja kweney vipaji vya asili....
Ni mlolongo mrefu tunaweza tukatunga kisa hapa, ila kifupi, ndoa ni taratibu ambazo zimebarikiwa na mungu, mke namume waishi pamoja kama aivyoishi Adam na Hawa,...
Ili tukaijaze dunia, mengine ni kusaidiana NA KUWEZESHA WANANDOA HAWA WAISHI KWA AMANI NA UPENDO. Sijui wenzangu mnasemaje.emu-threehttp://miram3.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-57425806042103374362012-04-26T18:17:27.541+01:002012-04-26T18:17:27.541+01:00Kiukweli,kama mwanaume na baba bilakusahau ni mume...Kiukweli,kama mwanaume na baba bilakusahau ni mume wa mtu(roho yangu my wife). sikumbuki kama niliwahi kuwaza naoa kwa ajili ya hayo yote ulio bainisha hapo juu. I la ninacho kumbuka nilijiambia mwenyewe kuwa sasa muda wa kuoa umefika ila sikujuwa ni yupi angekuwa my wife japo kulikuwa na nilio kuwa nawakubali kwa maumbile yao na muonekanao wao kuwa wanaweza kuwa chaguo langu.swala la kupika halikuwa tatizo kwangu. hivyo haya mengine ya kupika nimatokeo tu ,ila kimsingi mimi ni mpikaji,na mazingira ninayo ishi sasa mimi ndo mpishi mkuu.mke kwangu ni muhimu kutokana na taratibu na mifumo ya maisha,japo ndoa ni kiboko,bonge la shule. kaka s.sam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-23387948680234514362012-04-26T11:12:26.522+01:002012-04-26T11:12:26.522+01:00Kweli tunamtunuku kama dada wa blog. Lakini waheng...Kweli tunamtunuku kama dada wa blog. Lakini wahenga husema wavumao baharini papa kumbe wapo wengine kama wewe ndugu wa mimiemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-37597099850448562322012-04-26T10:49:26.289+01:002012-04-26T10:49:26.289+01:00Ni swali nzuri sana haya kaka zetu mpo wapi jitoke...Ni swali nzuri sana haya kaka zetu mpo wapi jitokezeni...Mija umetoka chicha dadangu:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-79349218211314623802012-04-26T07:24:15.342+01:002012-04-26T07:24:15.342+01:00Rachel hili la kumwagia watu sifa naona nalo ni ki...Rachel hili la kumwagia watu sifa naona nalo ni kipaji chako kingine, tukiachilia mbali u-MC,

Nashukuru kwa yote...
Ubarikiwe sana muke ya Mubena..Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-84873614992801500722012-04-25T22:36:28.505+01:002012-04-25T22:36:28.505+01:00tunamuoa mwanamke baada ya kujifunza kupika, kusaf...tunamuoa mwanamke baada ya kujifunza kupika, kusafisha vyombo, kufagia, kutunza watoto na kadhalika. Ukikuta dume halielewi chchote cha ndani ya nyumba utakuwa mjinga kukubali kuolewa na mtu anaetaka mtumwa kwako badala ya msaidizi!!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com