tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post8915242657101183968..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Siku kama ya leo kaka Twahil Alizaliwa na Siku kama ya Leo Tulimpoteza baba yetu Kipenzi!!!!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-78137781990633097572012-05-03T12:47:17.398+01:002012-05-03T12:47:17.398+01:00Ndugu wa mimi@emu wa 3 na Mwanakwetu da'Edna, ...Ndugu wa mimi@emu wa 3 na Mwanakwetu da'Edna, Ahsanteni sana sana,Pamoja daima!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-41213298615723284862012-04-25T19:53:06.311+01:002012-04-25T19:53:06.311+01:00Sijachelewa sana bwanaaa,hongera sana kaka kwa kuo...Sijachelewa sana bwanaaa,hongera sana kaka kwa kuongeza mwaka mmoja zaidi na pole kwa kufiwa.EDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-33466696513096447112012-04-25T10:07:20.590+01:002012-04-25T10:07:20.590+01:00Hongeara kaka Twahili kwa siku yako ya kuzaliwa na...Hongeara kaka Twahili kwa siku yako ya kuzaliwa na poleni kwa huo msiba,....yote ni mapenzi ya mungu...yeye ndiye mpaji na mchukuaji.emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-36972587328794196462012-04-24T17:52:51.893+01:002012-04-24T17:52:51.893+01:00Amina wapenzi na Ahsanteni sana sana, Mungu atubar...Amina wapenzi na Ahsanteni sana sana, Mungu atubariki sote.<br />@dadake kweli ya MUNGU NI MENGI!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-46385822573055168902012-04-23T23:09:19.190+01:002012-04-23T23:09:19.190+01:00Kwanza hongera sana kaka Twahil kwa kuzaliwa siku ...Kwanza hongera sana kaka Twahil kwa kuzaliwa siku kama ya leo mwenyezi Mungu akujalie maisha yaliyo jaa upendo kaka <br />Napili Poleni sana wapendwa kwa kumpoteza kipenzi baba,ni ngumu sana kwetu sisi wanaadamu wakati tunapoondokewa lakini tumeambiwa tushukuru kwakila jambo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-11108159060534092572012-04-23T17:03:03.325+01:002012-04-23T17:03:03.325+01:00Poleni sana jamani.... na hongera kaka Twahil. Huy...Poleni sana jamani.... na hongera kaka Twahil. Huyu kaka Twahil inawezekana kabisa ndiye mshika familia yenu... ya Mungu mengi.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-32258889492065233202012-04-23T12:53:26.782+01:002012-04-23T12:53:26.782+01:00Kwanza HONGERA KAKA Twahil kwa siku hii muhimu kwa...Kwanza HONGERA KAKA Twahil kwa siku hii muhimu kwako. Na pia poleni sana kwa kufiwa na baba. Najua yupo nanyi kiroho ila sio kimwili.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com