tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post8448278079062473962..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Nawatakia J'pili Njema,pata burudani,Malindi Choir- Zungukazunguka Na kitu hiki cha LULU,Mpendwa Unakumbuka nini Usikiapo Nyimbo Hizi?Mungu awe nanyi Daima.Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-53369681806002722302012-01-30T13:40:48.334+00:002012-01-30T13:40:48.334+00:00Ahsante sana Wapendwa wangu,da'Yasinta naona u...Ahsante sana Wapendwa wangu,da'Yasinta naona unakumbukia mbali sana.<br /><br />@Kaka Sam barafy yangu,Nimefurahi sana sana kusikia Moyo wako ulikuwa buruuuudani, kamwe Furaha yakohaitapote Mungu yu pamoja nawe,tena utazungukazunguka,karibuni sana waungwana.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-86499376468045685902012-01-29T17:23:20.530+00:002012-01-29T17:23:20.530+00:00Da,Rachel bisikuti yangu, kutoka kumoyo leo jumapi...Da,Rachel bisikuti yangu, kutoka kumoyo leo jumapili yangu safi kabisa.huo wimbo wa kwanza Lulu naupenda sana nikati ya nyimbo ambazo zinaweza kunirudishia furaha yangu endapo itapotea. huo mwingine pia nimeupenda watu wakifurahi inabidi wazunguke. asante kwa chakula cha roho(muziki) kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-72895660600331701132012-01-29T10:27:30.665+00:002012-01-29T10:27:30.665+00:00Yesu nipeleke kule kwa baba nikaishi naye kule mbi...Yesu nipeleke kule kwa baba nikaishi naye kule mbinguni kwenye mji wa lulu mlongo wa dhahabu ooohh lulu..Safi sana Jumapili njema nawe pia familia yako yoye na waote wtakaiopita hapa Mungu awabariki.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com