tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post7127375492056380806..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Mshumaa uliozimika.Leo ni BRENDA FASSIE, Sikiliza (Vul'indlela / ...!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-82193915495605695652011-09-27T16:14:01.015+01:002011-09-27T16:14:01.015+01:00Duhhh kaka Kiturutu!!!!Duhhh kaka Kiturutu!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-55231192024585587302011-09-26T07:22:27.322+01:002011-09-26T07:22:27.322+01:00``Mungu wape Faraja Yatima ,Wajane na wote walio...``Mungu wape Faraja Yatima ,Wajane na wote walioondokewa na wapendwa wao. ยดยด

Umemaliza DADA!

Ila swali la kizushi:
Hivi sio mapenzi ya MUNGu hao Yatima ,Wajane na wote walioondokewa na wapendwa wao wahuzunike?

Na hivi MAUMIVU hayachangiwi na MUNGU pia labda kwa mipango yake ambayo kibinadamu hatuielewi?

Nawaza tu kwa sauti!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-14348792809494675522011-09-25T11:10:11.012+01:002011-09-25T11:10:11.012+01:00hata kama sielewi anasema nini ila nampenda sana F...hata kama sielewi anasema nini ila nampenda sana Fassi na pia miziki yake.

Kaka Sam umenichekesha eti akazuka Mbogo ...ha ha ha aaa nahisi wewe huwa unazuka kila wakati.:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-24819256571378563462011-09-25T10:54:57.258+01:002011-09-25T10:54:57.258+01:00umenikumbusha kisa kimoja,kunadada mmoja alikuja j...umenikumbusha kisa kimoja,kunadada mmoja alikuja juu na kuwa mkali kama mbogo, baada ya kua mbiwa 'shoga umependeza na yaaani!! umefanana na brenda Fassi'!!? na kwambia ulizuka mzozo wanguvu,yule dada aliye fanananishwa aliona hastaili na wala si mbaya wa kufanananishwa na mwana muziki huyo. tuna mmiso sanii,ni mapenzi ya mungu. kaka Ssam mbogonoreply@blogger.com