tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post5466736838150350715..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Jikoni Leo ni Kisamvu!!!!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-18274162392946806442011-07-12T18:01:20.062+01:002011-07-12T18:01:20.062+01:00hahhaha jamani kaka Chib tunakukumbusha tuu ili us...hahhaha jamani kaka Chib tunakukumbusha tuu ili usisahau nyumbani!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-34652324475905401092011-07-10T21:47:41.555+01:002011-07-10T21:47:41.555+01:00huwa nakwepa sana kuangalia blogu za vyakula, kwan...huwa nakwepa sana kuangalia blogu za vyakula, kwani hii ni kutesana tu, kuvila kwa macho :-(chibhttps://www.blogger.com/profile/14601803334608365440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-47421819174509345362011-07-05T18:12:54.735+01:002011-07-05T18:12:54.735+01:00Ahsante sana wapendwa kwa maoni yenu,
@da Yasinta ...Ahsante sana wapendwa kwa maoni yenu,
@da Yasinta kama nakuona huko nyumbani wangu,unapata vitu kamili.
@da Mumyhery nami nitajaribu ili nipate hiyo radha.
@Anony ni kweli kila kitu kwa kiasi.

@kaka Kitururu hahahha pole wangu!
@da Edna umenena je Shemeji umeshampikia Kisamvu?

@kaka Chahali na emu-3 ahahhahaa poleni sana.
@kaka Mnyanya TZ tunakula Ugali wa muhogo.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-71308689129243456322011-07-02T16:07:04.043+01:002011-07-02T16:07:04.043+01:00Mwanangu mimi kisamvu hukipika na mawese, karanga,...Mwanangu mimi kisamvu hukipika na mawese, karanga, huongezea nyanya mshumaa, nakipenda kula kwa wali, ugari, mhogo wa kuchemssha au viazi vitamu vya kuchemshamumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-47692744007682337542011-06-30T02:16:05.217+01:002011-06-30T02:16:05.217+01:00Nipe kisamvu kwa namna yoyote ile NITAKULA, kwani ...Nipe kisamvu kwa namna yoyote ile NITAKULA, kwani sisi wenye miBLADI GRUPU yakiajabu-ajabu, utakuta mboga za majani kwetu ni kama nyama kwa wengine!

Lakini unipe kisamvu chenyewe pamoja na ugali wa mihogo (CASSAVA)wala siyo wa mahindi! Sijawahi kula wala kuona ugali huo TZ, lakini huko Chilumba, Malawi, aiseee....

... Sasa naona njaaa...ngoja niende jikoni!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-52559072470248048932011-06-28T10:47:05.819+01:002011-06-28T10:47:05.819+01:00Tumbo limelia ngruuuu! siunajua tena hii ni lunch ...Tumbo limelia ngruuuu! siunajua tena hii ni lunch time, na ukiviona vitu kama hivyo tumbo linadai...TUPO PAMOJAemu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-11275012565341763562011-06-27T17:39:32.288+01:002011-06-27T17:39:32.288+01:00Yum yum.Yaani Rachel umesababisha ugomvi kati ya t...Yum yum.Yaani Rachel umesababisha ugomvi kati ya tumbo la ulimi.Tumbo linadai haki yake,ulimi nao unabubujikwa mate kwa tamaa.Asante kwa picha hizi nzuriEvarist Chahalihttps://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-32894781526581687412011-06-27T10:45:24.322+01:002011-06-27T10:45:24.322+01:00Umenikumbusha mbali sana,mimi hupenda kisamvu cha ...Umenikumbusha mbali sana,mimi hupenda kisamvu cha nazi tena ukiacha kilale ule kesho yake ndio kinanoga zaidi.EDNAhttps://www.blogger.com/profile/09635503380563352597noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-84763638319293503722011-06-26T15:40:45.434+01:002011-06-26T15:40:45.434+01:00Mie Udenda umenitoka!Mie Udenda umenitoka!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-36074539962936546352011-06-26T10:04:03.992+01:002011-06-26T10:04:03.992+01:00Asante kwa kisamvu, ni mboga nzuri sana. Ila inata...Asante kwa kisamvu, ni mboga nzuri sana. Ila inatakiwa kuliwa mara moja moja. Ukila mara kwa mara inakinai. Ni nzuri kuweka nazi na kitunguu pia pilipili mbuzi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-18100714968815324372011-06-26T09:41:17.291+01:002011-06-26T09:41:17.291+01:00Rachel mchokozi...ila si mbaya sana ni keshokutwa ...Rachel mchokozi...ila si mbaya sana ni keshokutwa tu nitakuwa kunyumba na nitakula, nitakula. Haya mie huwa napenda Kuchemsha /chukuchuku na napenda kula na ugali halafu ungejua hicho ni chakula changu nilichokulia....halafu swali la kizushi..unajua kama kula ugali na kisamvu wakati mvua inanyesha ni utamu sana???...mimi nionavyo:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com