tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post5163580090167208682..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Waswahili wetu Leo;WaTanzania na Madawa ya Kulevya!!!!!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-75933517091398901822012-05-28T08:10:32.441+01:002012-05-28T08:10:32.441+01:00Kuna muuzaji, mtumiaji, lakini yupo mtengenezaji.....Kuna muuzaji, mtumiaji, lakini yupo mtengenezaji...huyu mtengenezaji, ndiye anastahili kulaumiwa, na ikiwezekana liwe janga la kidunia,maata kidogo kidogo,mwishitakuwa ni tatizo.<br /> Dunia ipige marafuku utengenezaji wa haya madawa, natumai kama `bwana'mkubwa atalisimamia kama vita vya ugaidi tunaweza tukafika mahali.emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-82553279009423375932012-05-27T23:14:33.732+01:002012-05-27T23:14:33.732+01:00Kila mmoja wetu anapaswa kulaumiwa kwa kweli maana...Kila mmoja wetu anapaswa kulaumiwa kwa kweli maana hili si suala la mvutaji au muuzaji pekee, tusiwaachie wahusika, sisi pia ni lazima tuwajibike kuhakikisha jambo hili linatokomea..<br /><br />Asante kwa mada mdada..Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-36146158763183887912012-05-26T21:17:26.692+01:002012-05-26T21:17:26.692+01:00Jamani tumuogopeni Mungu,tuache kupata fedhe haram...Jamani tumuogopeni Mungu,tuache kupata fedhe haramu.Ona ndg zetu wanavyopotea.Tujifikilieni wote ni wazazi au walezi kwa njia moja au nyingine,tutamaliza vizazi vyetu wenyewe,Tumrudie M.MunguAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-16228545666739499662012-05-26T09:28:01.474+01:002012-05-26T09:28:01.474+01:00Nasema tena nitasema tena lawama ni kwa jamii ...Nasema tena nitasema tena lawama ni kwa jamii yetu kwa ujumla wake. Kwa kuwa ni sisi wenyewe kwa wenyewe tunacheza huo mduara.ray njauhttps://www.blogger.com/profile/17305304044159231575noreply@blogger.com