tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post4211615335385602016..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Kaka Joel Atimiza Miaka 5!!!!!!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-85663529994526401692011-10-03T07:13:48.781+01:002011-10-03T07:13:48.781+01:00Hongera sana kaka Joel kwa kutimiza miaka mitano.....Hongera sana kaka Joel kwa kutimiza miaka mitano... Mungu azidi kuwa nawe hata utimize ndoto yako ya kuwa injinia wa mandege...magari kitu gani bwanaaa!!

Hongera sana.

@Yasinta, asante sana na Mungu akubariki, ila si uongo huku kuna ushirikiano sana nadhani kwa sababu kuna watanzania wengi zaidi kuliko nchi nyingine zote za Ulaya.

@Mjomba Manyanya, utenzi nimeuona, unalipa si kidogo kaka.Mija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-3267739711820632382011-09-28T00:15:44.204+01:002011-09-28T00:15:44.204+01:00Kuhusu magari ya utoto: Tunatoka mbali na magari h...Kuhusu magari ya utoto: Tunatoka mbali na magari hayo. Pia tunakwenda mbali. Mimi nikiwa umri wake Joel nilikuwa na magari mawili: moja kubwa la rangi nyekundu kwa ajili ya kubebea mchanga, halafu lapili ndogondogo lakutembelea mimi kama bosi wa kampuni, rangi zambarau... aisee utoto kweli ni ufalme!

Lakini naamini sana magari hayo yalichangia kunipa moyo wa kujifunza mwenyewe kwendesha gari nikiwa na umri 13! Magari yamechangia pia kunipa moyo wakujifunza vyombo vingi nikiwa mtu mzima sasa kiasi kwamba hata matumizi ya kampyuta nilijifunza mwenyewe (1998).

Ukweli ni kwamba napenda kuvitawala vyombo; na kukiri, HATA BINADAMU NAPENDA KUMTAWALA (na nilishangaa majuzi kuona gazeti moja A. Kusini limechapisha habari kwamba mtoto wa umri 16 anaendesha ndege pekee yake! NINI HAPO CHA KUSHANGAZA???)

Malezi ya mtoto hayo!!!!!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-35099742709622075402011-09-27T23:31:16.449+01:002011-09-27T23:31:16.449+01:00"HESHIMA KWA WAZAZI, JOEL"
(hili ni s..."HESHIMA KWA WAZAZI, JOEL"

(hili ni shairi la Mjomba Manyanya kwako, na anawaomba wajomba wengine wamsahihishe Kiswahili halafu wamtumie manyanyaphiri@gmail.com)

... Kwetu Uswahili unatoka...
....Angani huko pananyota...
Tupatie moja Joel tusisononeke!
Tunakushangilia Mtoto wewee!

MIAKA MITANO Joel Hongera!
Unaugusa mlima na kujitangaza!
Mlima wa Uchagani siyo utani!
Milima Himalaya wengi imetwanga!

MIAKA KUMI Joel kweli umekua!
Mara ya pili Mlima unagusa
Maisha ya mlima na vumbi unanusa
Mikono miwili mlima umekumbatiwa!

Kilimanjaro ya kale nayo kuitika
Lakwako Joel hapo ni kukiri
Majukumu juu ya maisha nimeshika
Miaka kumi wazazi hawakuninyima!

Joel tayari MIAKA KUMI NA TANO!
Jina lako hakika Sibusiso Vilane
Mguu mmoja tayari umenyanyua
Kuupanda kabisa mlima wa maisha

Sasa kweli Mjomba uko tayari?
Utayumbayumba au utashikilia?
Kigugumizi Mjomba wewe cha nini?
Uoga waMusa mie Joel sisingizii!

Mjomba mie simu nipigie
Kuwashughulikia Wazee sisiti
Kwanini mkawie kumpa siri?
Mlima kupanda mtoto ajizatiti!

MIAKA ISHIRINI kwa Joel Bingwa
Jogoo huyu kotekote anawika!
Usielijuwa wakuambie lipi?
CHUNGA Juu ya Kilimanjaro umefika..

..Upareni wa milima hawana upara!
Ukipaa juu vichwa-uzee vising'are
Hiyo kwa lugha ya Wazazi niHeshima
Uyaoneje maboga macho juu umegeuza?

Angani huko Joel pananyota!
Moja tupatie ndoto tumechoka!
Simabawa tumeyaona..?
...Tunashangilia yanaota!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-81692850163180588332011-09-27T16:04:09.298+01:002011-09-27T16:04:09.298+01:00Mungu akujalie maisha marefu, hongera sana JoelMungu akujalie maisha marefu, hongera sana JoelAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-15564812792643731352011-09-27T04:31:19.872+01:002011-09-27T04:31:19.872+01:00Hongera sana Joel!Hongera sana Joel!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-21971619385092210612011-09-26T17:39:27.362+01:002011-09-26T17:39:27.362+01:00Hongera sana kaka Joel kwa kutimiza miaka 5..Honge...Hongera sana kaka Joel kwa kutimiza miaka 5..Hongera pia wazazi kwa kazi kubwa mloifanya...nimependeza na ushirikiano mlionao...Nje ya mada Mija umetoka chicha mdada:-)Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com