tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post2648852574901533818..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akihojiwa na TBC1 juu ya Mafuriko jijini ...Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-76583539817911157762011-12-22T14:28:17.447+00:002011-12-22T14:28:17.447+00:00"Tokeni, Wananchi, sehemu za bondeni; na wana..."Tokeni, Wananchi, sehemu za bondeni; na wananchi wanapuuza".

Na kusema ukweli serikali ya watu yoyote ile haiwezi ikatumia nguvu zilizozidi kuwafukuza wananchi mabondeni. Labda Mungu mwenyewe ndie Yeye pekee wenye kustahili nguvu hizo!

Afrika Kusini nasi, katika eneo la Johannesburg, upo Mto Jukskei; na wananchi wanapuuza kama kawaida kutojenga kandokando na mto huo na kila mwaka, nadhani imekuwa kama desturi, mtoto lazima atakufa na maji huko!

Nadhani umaskini unatufanya tujenge hata pale tusipostahili kujenga.

Poleni sana WanaDa'salaam! Sijui hali yake Mama Mdogo kwangu ikweje huko Ubungu Kisiwani!!!

(Mkuu Wa Mkoa ni mzungumzaji mzuri sana. Hongereni kwa uongozi mzuri)Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.com