tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post231174605952806691..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: Watoto wa Kike na Mitindo!!!!!!Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-83747206632559399022011-10-27T17:37:17.223+01:002011-10-27T17:37:17.223+01:00Wapendwa Asanteni sana!Tayana Ameeeenn,
@ da'Y...Wapendwa Asanteni sana!Tayana Ameeeenn,
@ da'Yasint natumaini yameishia kwako si wanagu kina Erik na wengine,
@ Kaka wa mimi KITURURU hujakumbuka kile kikaptula chako?
@ Ndugu yangu emu-3 Pamoja sana!

@ kaka yangu SAM a.k.a kakaS kwikwikwikwi, Rede mwenzie kukudua na kukunja nguo@@@@@@wewe ndiyo wale mliokuja na vioo mtu kasimama mnaweka chini eeehhhh ili uone chhhhhuupiiiiii hahahahhha umenikumbusha mbali!!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-69754556107782225762011-10-26T18:32:30.141+01:002011-10-26T18:32:30.141+01:00Wamependeza!Wamependeza!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-90296619904668870202011-10-26T12:03:23.163+01:002011-10-26T12:03:23.163+01:00Imekaa vyema hiyo ndugu yangu, tupo pamojaImekaa vyema hiyo ndugu yangu, tupo pamojaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-90727531054052412742011-10-26T11:48:46.789+01:002011-10-26T11:48:46.789+01:00wakati wa utoto,rede ilikuwa kipimotosha kujuwa ms...wakati wa utoto,rede ilikuwa kipimotosha kujuwa msicha kavaa chupi gani.simnajuwa wenyewe jinsi rede inavyo chezwa,lazima kanga,gauni livutwe mpaka usawa fulani......... weweee!! tulifaidi sana,Yasinta na Rachel rede!! .kumbukumbu nzuri sana. kaka ssam mbogonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-13321846791759464802011-10-26T11:35:21.413+01:002011-10-26T11:35:21.413+01:00Yaani Rachel umenikumbusha mbali kwelikweli...gaun...Yaani Rachel umenikumbusha mbali kwelikweli...gauni la kanisani na gauni la kushindia hizo ndizo zilikuwa nguo zangu na doti moja ya kanga..kutembea chama cha kuku...Halafu nimefurahi kweli umenikumbusha REDE...Rede redesta...eeeehh bwana weeee...Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-26157279171282519952011-10-25T22:14:47.359+01:002011-10-25T22:14:47.359+01:00Hapa mimi pana nikuna ksanaa....yaani mtoto akipen...Hapa mimi pana nikuna ksanaa....yaani mtoto akipendeza naona furaha sana na pia unamjengea mazingira mazuri ya yeye mwenyewe kuwa anajijari awapo mkubwa...Bless them lord..Tayannanoreply@blogger.com