tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post1194402634448789853..comments2023-12-30T03:05:54.487+00:00Comments on Swahili na Waswahili.com: ANGALIZO KWA WATANZANIA WOTE, UTAPELI HUU UNAANZA KUOTA MIZIZI.Rachel Siwahttp://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-13982849603717417282011-10-28T17:10:42.312+01:002011-10-28T17:10:42.312+01:00Hahahhahaa hapana sikujipendekeza KIUDOEZI@kaka Ki...Hahahhahaa hapana sikujipendekeza KIUDOEZI@kaka Kitururu mawazoni saa zote utapata vidonda vya tumbu@Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-5010082490953607472011-10-28T17:00:25.394+01:002011-10-28T17:00:25.394+01:00@Da Rachel: Yani kuokoteza taabu!Umegusa kabisa en...@Da Rachel: Yani kuokoteza taabu!Umegusa kabisa eneo. Na sasa ukiwa tu na kishughuli na WADOGOO unadai wapo mie nitakuwa fulu kujipendekeza !
Ila sijui hiyo itamaanisha najipendekeza KIUDOEZI wa DOGODOGO saizi yangu au vipi tena! Ngojea niwaze!:-(.....:-)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-33716991622159559082011-10-28T16:08:12.816+01:002011-10-28T16:08:12.816+01:00hhahhahh umeniuwa Aku babu,mali bon' mba mbona...hhahhahh umeniuwa Aku babu,mali bon' mba mbona bado zipo tuu @kaka Kitururu; Hao umeshachelewa wangu pole, lakini wana wadogo,ndugu,jamaa,jilani na marafiki, tena vyema umshirikishe mama Simon maana asianze oohhh huyu mbona kimini au ooooh Mbona Simon unapika sana, Achana na kuokoteza kaka yangu!!!Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-54020712664500683902011-10-28T15:58:32.912+01:002011-10-28T15:58:32.912+01:00@Da Rachel: Aku Babu! Nasikia kumalizia vya bucha ...@Da Rachel: Aku Babu! Nasikia kumalizia vya bucha utakula mpaka damudamu na nyama zisizotakiwa na wengine na kirahisi yasiyolika yatakua yako KINYONGO,.. na na NYONGo eti ni SUMU !:-(

Tatizo mali bonĀ“mba kwa kawaida huwa zishadakwa na wajanja. Si umeona ya Da Rachel , Da Mija, Da Yasinta Ngonyani au tu Mke wa Kikwete kama si DA MIGIRO?:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-56871295266597050742011-10-28T15:52:30.347+01:002011-10-28T15:52:30.347+01:00Hahahhaha hapana kaka utakula vivyochaha au kuoza ...Hahahhaha hapana kaka utakula vivyochaha au kuoza kaka yanguuuu,miokate ya siha,grolia na vyote havina maana@kaka Kitururu chako ni chako,UTAMALIZA BUCHA ......AU?Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-88526987480251636502011-10-28T15:34:51.846+01:002011-10-28T15:34:51.846+01:00@Da Rachel: Si nasikia kuoa au KUOLEWA ni noma ka...@Da Rachel: Si nasikia kuoa au KUOLEWA ni noma kama bado KIDUME au MDADA ananogewa na vitumbua siku nyingine, viazi vitamu siku nyingine , mikate ya Arusha siku nyingine, na bila kusahau VITUMBUA!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-65418653370363741282011-10-28T15:19:59.576+01:002011-10-28T15:19:59.576+01:00Nimekupata kaka wa mimi Kituru,tena bora wale wana...Nimekupata kaka wa mimi Kituru,tena bora wale wanaopangia bei kabisa kuliko kuchunwa buziii maana wanakuwa na shoga zao wakuchune weee, na buzi ili lionekane linamanyoa shartii lijitutumue huku linaumia,Hapo ndipo ninapo taka kaka zangu Waoe akiwepo na SIMON. Mpaka Wali unaingiza madarakani watu tusiowapenda, kweli Changa la Macho hatusababishiwi na Wapopo tuu Eti ule Usemi unaosema KIKULACHO NI KINGUONI MWAKO NAO UNATAMBA HAPO!!.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-7108257469933057892011-10-28T14:19:19.078+01:002011-10-28T14:19:19.078+01:00Hakuna cha bure ila kwa bahati mbaya wengi wetu tu...Hakuna cha bure ila kwa bahati mbaya wengi wetu tunapenda vya bure kitu kifanyacho nasikia ndio kisa kuna baadhi huchukia malaya wauzao kwa kuwa yajulikana sio bure ingawa chuna buzi achunaye zaidi kwa kujidai yake bure halalamikiwi!:-(

Yani Da Rachel we acha tu!
Si umestukia watu bongo tunapigia kura hata tusiowapenda kisa WALI TU wa bure?@Da RachelSimon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-49228922372219526882011-10-28T14:14:25.984+01:002011-10-28T14:14:25.984+01:00haahhaaahha tena mwingine angetoa na details kabis...haahhaaahha tena mwingine angetoa na details kabisa, kuna chabure kweli@Kaka Kitururu?.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-80664129817477667382011-10-28T14:09:08.809+01:002011-10-28T14:09:08.809+01:00Na ulalahoi unatuponza, MTU ukisikia tu umewini un...Na ulalahoi unatuponza, MTU ukisikia tu umewini unaingia kichwakichwa hata kwenye changa la macho!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-86215712600573750182011-10-27T19:59:25.628+01:002011-10-27T19:59:25.628+01:00Pole da'Tayanna, lakini Mungu yu mwema mmewagu...Pole da'Tayanna, lakini Mungu yu mwema mmewagundua, Duuhhh chanaga la macho hilo!.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3576781806889138247.post-88686264841084992812011-10-27T19:49:21.830+01:002011-10-27T19:49:21.830+01:00Asante sana dada Raheli.....hii unayosema nikweli ...Asante sana dada Raheli.....hii unayosema nikweli kabisa maana kama miezi minne hivi kaka yangu alinipigia simu kutaka kujua kama nilicheza bahati nasibu kwa kupitia namba yake ya simu na alikua ameshinda pound elf moja kwa campuni ya nokia...Nikamwambia asitoe details zozote maana mimi sikucheza bahati nasibu mhh na watu wanalizwa sana sana...Thanx again kwa tahadhaliTayannanoreply@blogger.com