Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 3 February 2017

Wanawake na Maisha;Mwanamke/Mama huyu Mjane amenigusa..;Wanawake wengi wanapitia haya...Shukrani;BongoStars

Haya mambo yanawakuta wanawake wengi wanapofiwa na waume/wenza wao,Inafikia baba wadogo/Ndugu wa mume wanawagombanisha mama na watoto...
Wewe imeshakukuta/kupitia haya matatizo, Au mtu wako wa karibu?
Mungu awabariki wamama wote na wote wanaopitia/waliopitia haya.

No comments: