Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Friday, 7 March 2014

International Women's Day 2014 - UDSM female staff.

Wanawake tunaweza.. Mamaaa GerryHans nawatakia wanawake woote kila la kheri ktk kusherehekea siku ya wanawake duniani. Kina Mama oyeeeee...

Picha na Mpiga picha Wetu;Phoibe Penza- Mshana[Mwanapenza]


Kama unapicha,Ujumbe wowote,Usisite kututumia kwa Email;rasca@hotmail.co.uk

"Swahili Na Waswahili"Pamoja Sana.
3 comments:

Phoibe P. Mshana said...

Thanx saana my mdogo...

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wa mimi! yaani nasikitika kuwa hatupo katika picha lakini naamini tupo pamoja na wanawake wenzetu...WANAWAKE TUNAWEZA!!

Rachel siwa Isaac said...

Asanteeee..dada yangu kipenzii..Phoibe..

KADALA Wa mimi!!!!!!! Kweli kabisa usemayo tupo pamoja nao.

WANAWAKE OYEEEEEE!!!!