Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday 22 November 2013

Jikoni Leo;African Market-Nima Market in Accra, Ghana!!!!




Waungwana;Jikoni Leo, Tupo sokoni  Ghana..haya tuangalie mahitahi...
Kuna vingine wewe huviwezi kula lakini wengine wanaweza.

Nini kimekuvutia?

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ama kweli kuna vingine wengine ni chakula na wengine hapana konokono ...mweh hapana kwa mimi...

Rachel Siwa said...

Hahahahah...KADALA,Vipi ndiyo umeolewa na watu wa huko,Mume anataka ipikwe hapo ndani?