Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Friday, 9 August 2013

Mkono Wa EID [Eid Mubarak] Kwa Watu Wote!!!!


Nawatakia/Nawapa Mkono Wa EID [EID MUBARAK]
  Ndugu,Jamaa,Marafiki,Wa Tanzania na Watu Wote Duniani.
Muwe na Eid/Siku Kuu Njema,Yenye Amani,Upendo,Umoja,Baraka na Furaha.Pata Burudani taratiiibu!!!!"Swahili Na Waswahili" EID MUBARAK

No comments: