Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Wednesday, 17 July 2013

Nipo wapendwa Muwe na Ramadhani njema!!!!!

Waungwana, Ndugu,Jamaa,Marafiki na wapenzi wote.. Nashukuru kwa kunitafuta.. Nipo salama na Mungu ni Mwema...
Emu-3 [Ndugu wa mimi], da'Yasinta [kadala] na wote mlionitumia Ujumbe, Mnaondelea kupitia kibarazani Mbarikiwe sana na Tupo Pamoja.

Mliofunga nawatakia Ramadhani Njema...

Summer njema mliokuwa Nga'mbo.....

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki! Mwenyezi na awe nawe. Missing u.

emu-three said...

Twashukuru kuwa upo pouwa ndugu wa mimi, ...karibu tena, na tupo pamoja,