Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Wednesday, 6 February 2013

President Obama's Message to the People of Kenya!!!!!HABARI YAKOOOOOO!!!!

Waungwana;Ujumbe huu kutoka kwa Rais Obama, kwa Ndugu zetu Wa-Kenya...
kunalolote unataka kuongezea?..Maoni/Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo.

"Swahili Na Waswahili" KWAHERIIIIIIIIII

2 comments:

emu-three said...

'Habari yako' ndugu zetu majirani zetu, natumai ujumbe huo mumeupata, TUPO PAMOJA

Rachel siwa Isaac said...

Pamoja sana Ndugu wa mimi!!!