Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 18 January 2013

Watoto na Shangwe;Leo ndani ya Coventry ipo hivi!!!!!!!

Waungwana;Leo hali ya hewa Coventry ipo hivi...Lakini watoto wanafurahi sana....
Kwetu Bongo tunacheza kwenye Mchanga.....huku wacheza kwenye Snow!!!!!!!!
Baadhi ya Shule zilifungwa  mapema Leo.

Swali la Kizushi;Kule Nyumbani nilikuwa nasikia kuna Ugonjwa wa Ngiri kwa wanaume, Wakati wa Mvua/Baridi hasa Pwani.Jee waliokuwa wanaumwa huko Nyumbani Wakija huku wanapona?

"Swahili NA Waswahili" Pamoja sana.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

mmhhh...watoto ni viumbe wa ajabu kweli nashukuru mungu wangu wakubwa ..maana haya mambo ya baridi bwana ukiwa na watoto wadogo basi mtindo mmoja kwenda nao nje ..kucheza ..nasubiri hilo swali la kizushi lijibiwe kwani mimi sijui...