Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Tuesday, 18 December 2012

Waswahili Na Maisha Yao;AFRICAN VILLAGE LIFE!!!Waungwana; Leo tuangalie Maisha ya Kijijini..........

Jee wewe umewahi ishi kijijini?
 Nini kizuri unakumbuka  na Nini kibaya unakumbuka?.....

Jee Unafikiri kwanini Wazungu hupenda kuchukua Matukio ya Vijijini? kwa sababu ni mageni kwao,Wanataka kutusaidi au?.

 MUNGU Ibariki Afrika,MUNGU Ibariki TANZANI!!!!!!!

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana.

2 comments:

Anonymous said...

Hongera kwa kazi nzuri sana ya kutujulisha kinachoendelea ughaibu na nyumbani. Tunaomba vipindi na habari nyingine kuhusu mila na desturi za jamii tofauti za Tanzania pamoja na Waswahili. Ukipata fursa tafadhali zuru www.radiomrima.org kwa vipindi kuhusu historia ya kiswahili, fani ya ushairi, muziki wa kizazi kipya na masuala mengine ya kusisimua.

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana mdau..Karibu sana na nita Zuru hiyo Radio.