Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 16 September 2012

Nawatakia J'Pili Njema;Burudani-Mamajusi Choir !!!!!!!!!!

Wapendwa nawatakia J'Pili yenye Amani,Baraka,Shukrani na Upendo.
Ondoka,Uangaze;kwa kuwa nuru yako imekuja,Na utukufu wa BWANA umekuzukia.
Neno La Leo;ISAYA:60;1-6.

"Swahili NA Waswhili" MUNGU ATUBARIKI SANA.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Naona sijachelewa ila naanimi da´kachiki na familia mlikuwa na dominika njema na pia wengine wote...