Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 31 August 2012

Watoto na Malezi;Mtoto na Commando na Mtoto na Wachezaji!!!


Waunngwana Wazazi/Walezi;"Watoto na Malezi" Huyu anacheza na wachezaji,huyu anatupatia Picha la Commando!!!.

Duhh Huyu wa Commando kiboko...........Wewe unasemaje kuhusu mtoto mdogo na Wachezaji? na wa Commando jee? Kipaji,Ufuatiliaji mzuri au..
Vipi wewe ulikuwa wapenda nini Utotoni?

Tunasubiri Mtazamo wako.Maoni,Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo.
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

ama kweli malezi ya watoto yapo tofauti..ndoto..mimi nilikuwa napenda kukaa tu nyumbani na mama..

Rachel siwa Isaac said...

Hukua na marafiki da'Kadala?