Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 1 August 2012

Siku Kama ya Leo da'Rachel-siwa Alizaliwa!!!!!MUNGU yu Mwema Kwanguuuuuuu

Siku kama ya Leo Familia ya M.S.Kiwinga walipata Mtoto wa kike!!!!
Mimi Rachel-siwa NaMshuru sana Mungu kwa Mema Yooote Maishani Mwangu.
Kwangu hakuna baya na nilipo hisi baya Nafuta na Kusema ni MAPITO[MITIHANI]TUU.WEWE UNATOSHA BABA!!!.

 Mtoto  kwa Wazazi atabaki kuwa mtoto hata kama ana Watoto.
Ninawashukuru sana Wazazi wangu kwa yooote mliyojaaliwa kunipatia kulingana na Uwezo wenu,
Nawapenda,Nitaendelea Kuwapenda mpaka mwisho wa Maisha Yangu.
BABA najua hayupo nami kimwili lakini Kiroho nipo nawe na nitaendelea kukumbuka Daima.

Nikushukuru UBAVU wangu ISAAC,Asante sana kwa yooote,MUNGU Azidi kutusimamia katika Maisha yetu.Mimi Penda sana wewe Mubena yangu!!!!!

Niwashuru sana Kaka,Dada,Watoto  Zangu woote Nawapenda.

Pia Niwashukuru Ndugu,Jamaa,Marafiki,Majirani na Wooote wanaonifahamu kwa njia moja au nyingine.

Kamwe Sijutii kufahamiana nanyi, Basi Nirudishe Shukrani kwa MUNGU najua ni mpango wake kuniunganisha nawe.

Nanilipo kosea/kukukosea Naomba Nisamehe,Kwani Nami ni Bin'Adam Sijakamilika.

Nawapenda woote wakubwa kwa watoto,Wake kwa Waume.

MUNGU TUBARIKI SOOOOTE.
AMEEN.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kumbe ndio tarehe hii ulizaliwa HONGERA SANA Na sijui umetimiza miaka mingapi?..

emu-three said...

HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA;

Ndugu wa mimi, mungu akupe afya baraka tele,...

Goodman Manyanya Phiri said...

mmmhhhh! (nayo picha yaonyesha kabisa ni mtoto aliezaliwa leo hii!) Hongera!

Goodman Manyanya Phiri said...

Hongera sana, Dada'
angu!

Rachel siwa Isaac said...

Ahsanteeeni saaana wapendwa wangu kwa yoote, Mungu atubari sote.Pamoja sana sana mwahhhhhhhh.