Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 5 August 2012

Nawatakia J'Pili yenye Furaha;Burudani- PARAPANDA VOICE CHOIR!!!!!!!

Taa ya Mwili ni Jicho;basi jicho lako likiwa safi,Mwili wako wote utakuwa na Nuru.
Lakini jicho lako likiwa bovu,Mwili wako wote utakuwa na giza.Basi ile Nuru iliyomo ndani yako ikiwa giza;Si giza hilo!!!!!


Neno la Leo;Mathayo Mtakatifu:6:22-23.
MUNGU NA AZIDI  KUTUBARI SOOOTE!!!

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

hata kama jumapili ilikuwa jana naweza pia kusema Jumapili njema nawe pia na familia.