Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Sunday, 26 August 2012

Nawatakia J'Pili yenye baraka na Amani.Burudani- Mwamba Rock Choir!!!!


Wapendwa Nawatakia J'Pili yenye Baraka,Upendo,Umoja, Amani na Malezi mema.

Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse;Wanafunzi wake wakawakemea.Ila YESU alipoona alichukizwa sana,akawaambia,Waacheni Watoto wadogo waje kwangu,msiwazuie;Kwamaana Watoto kama hawa Ufalme wa MUNGU ni wao.

Neno La Leo:Marko Mtakatifu:10:13-16

"Swahili NA Waswahili" MUNGU ATUBARIKI SOTE.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Baraka,Upendo,Umoja na Amani vitawale katika familia yako na wote wataopita katika kibaraza hiki. Upendo Daima.

Rachel siwa Isaac said...

Ameeen dada Kadala,Nanyi muwe na wakati mwema!!