Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday, 12 August 2012

Nawatakia J'Pili Njema,Burudani;Usinipite Mwokozi -Lydiah Joy Kaimuri;Sarah k-Niinue;Unibariki-Hellen Ken!!!!

Wapendwa Nawatakia J'Pili yenye Upendo,Amani na Furaha.

Nanyi mkiwa katika kusali,msipayuke-payuke,kama watu wa mataifa,maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa Mengi.

Neno la Leo;Mathayo Mtakatifu:6;7-13.

MUNGU Atubariki Sote.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jumapili iwe njema kwako pia na familia na Upendo pia Furaha itawale nyumbani mwenu. Pia baraka kwa wote watakaopita hapa.

emu-three said...

Na we pia na leo nakutakia jumatatu njema

Rachel siwa Isaac said...

Asanteni sana sana wapendwa wangu@da'Yasinta[kadala] na ndugu wa mimi@emu wa 3!!!MUNGU atubariki soote waungwana.