Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Monday, 6 August 2012

Jikoni leo;Somali Rice Cake (Mkate wa Maashara)na Cilantro Rice!!!!!

Waungwana "JIKONI LEO"Ngoja niwapeleke kwa jarani zetu Wasoli.
Vyakula vyao si vigeni saaana naona tunatofautiana majina na uandaaji labda.Waswahili wanasema MCHELE MMOJA..........."

Kujua Zaidi ingia.SomaliFoodBlog
Shukrani saana.
Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

2 comments:

emu-three said...

Tukifuturu basi, nimegee kidogo!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Kachiki! nasi tujifunze haya mapishi ni vizuri kujua..unaweza kupata mgeni wa kisomali basi...na atashangaa...LOL