Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday, 16 August 2012

FFU wa Ngoma Africa band na Mashambulizi yao Tubingen,Ujerumani!!!!!

FFU wa Ngoma Africa band  imewasha moto,TUBINGEN
  
Wamechukua Tuzo ya "IDA-International Diaspora Award"

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya,Ngoma Africa Band
Siku ya Jumamosi 11.8 .2012 walishambuli jukwaa na la
International Africa Festival 2012,Tubingen,Ujerumani,
na kuhakikishia washabiki kuwa FFU ni tishio la kimataifa !
Kiongozi wa bendi Ras Makunja alikabidhiwa Tuzo ya kimataifa ya
"International Diaspora Award" kwa niaba ya bendi hiyo.

The Ngoma Africa Band

1 comment:

emu-three said...

Twawapa hongera zao, tupo pamoja ndugu wa mimi, nipo sehemu kidogo, nadoea jembe, kazi kweli kweli!