Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 25 August 2012

Chaguo La Mswahili Leo;Bob Rudala,Ali Kiba,,2berry,20 Percent!!!!!!!

Waungwana "Chaguo La Mswahili Leo" ni Kina Kaka hao wakilalamika juu ya Mapenzi.
Kwa Mtazamo wangu naona kama Tanzania[bongo]Nyimbo nyingi zinazungumzia Mapenzi.Jee ndizo Zinawapenzi wengi,Rahisi Kutunga na Kuimba,Au...?

Mpenzi mimi sina Mengi Zaidi ni kutoka kwako.
Karibuni sana Kwa Maoni,Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo.

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni chagua zuri..nimekuchagua wewe uqwe wangu wangu mpenzi, mpenzi wa maisha wa mayo wangu nakupenda eeehhh ....ningejua kuimba hivyo wewe ningejidai kweli...naupenda sana wimbo huu..uhongise bé. Jumamosi njema kwa wote watakaopita hapa na pia salimia familia kachiki....

Rachel Siwa said...

Hahaahah KADALA,kADODA,KACHIKI,Siku tutatoa wimbo!!!
Nafurahi kusikia Chaguo la leo limekugusa!!!!