Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 8 July 2012

Nawatakia J'Pili Njema;Burudani - Taunet Nelel,Hakuna Mungu kama wewe na Mapambio Meengiii!!!

Wapendwa Nawatakia J'Pili yenye Baraka, Amani na Upendo!!!!
Neno la Leo;Zaburi:67;1-7;
Mungu na Atufadhili na kutubariki,Na Kutuangazia uso wake.Endelea..........

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nawe pia uwe na amani na pia upendo wa mwenyezi Mungu na utawale ndani ya nyumba yako. Furaha ijae tele. Jumapili njema Kachiki,,,,

Rachel Siwa said...

Ameeeeeeeeeeeeeeen my dada yangu Kadala, Mungu atubari sote!!!!