Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday, 14 July 2012

Chaguo la Mswahili Leo-MATONYA feat LADY J.D - ANITA naNyingine Nyingii!!!!!

Waungwana Nimatumaini yangu woote Wazima.
Haya "Chaguo la Mswahili Leo" ni da'Judith[Lady Jayeed]
Vipi mwenzangu kuhusu dada huyu Amekipatia/Kujulia Kipaji chake?
Mimi huwa namkubali sana tuu kwa Muziki /Nyimbo zake.
Pia dada huyu anahusika na JIKONI, kwa hapo mimi siwezi semakitu kwani Sijawahi kufika"NYUMBANI  LOUNGE" Na sijawahi Kuonja Mkono wake[Mapishi yake].
Lakini nasikia ni Moto wa kuotea Mbali.

Jee unalolote unaweza kutuambia kuhusu kazi za dada huyu?
wewe anakubamba/unapenda kazi zake?.
Ngoja Tusikie kutoka kwako tusimalize Uhondo.

"Swahili NA Waswahili" Twende Sotee sasa... Natamanii kuwa Malaikaaa natamakuwa kuwa mtotoooo kohkohkoh Kibanda[Kipaji] hiki cha Kuimba mwenzangu mmhhh hahahha nimekumbuka Nyumbani nikiimba watu woote walala chini kwa kicheko haahahah Oiiiiiiiiiiiiiii 
ok nimekumbuka ngoja nilambe "chumvi" nitarudi tena

3 comments:

emu-three said...

Kweli huyu dada anajitahisi sio mchezo! Mimi wakati mwingine namkaribisha nakumlinganisha kama Ivon Chakachaka!

Yasinta Ngonyani said...

hahahahaaaa..mweh watu wana mbwembwe etui ngoja nikale chumvi kwanza...Lady J.D ana kipaji cha sauti nzuri sana

Rachel siwa Isaac said...

Ndugu wa mimi'emu-3 kumbe nawe anakubamba eehh ivon wa Tz.

Jamani ukisikia watu wagomvi ndiyo hawa, sasa da'Kadala unanichekaaaaaaa wewe subirituu, mmhhh lakini naweza pata Safura bure!!!!!!!hahahaahaha