Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Saturday 7 July 2012

Chaguo la Mswahili Leo-Mafikizolo - ndihamba nawe na nyingine nyingiii!!!!!!

Waungwana; Leo ngoja tuwaangalie Hawa "Mafikizolo",
 Jee wewe wanakubamba/Unawapenda?
Nini zaidi kina kuvutia katika Muziki wao?.
Sina Mengi zaidi Nakusikiliza wewe.Twende sote sasa!!
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

ahsante kwa muziki kachiki ...

Rachel Siwa said...

Pamoja sana da'Kadala, natumaini umecheza sana tuu!

Yasinta Ngonyani said...

yaani jasho lanitoka hapa wakati huko nje ni baridi..