Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 25 May 2012

Waswahili wetu Leo;WaTanzania na Madawa ya Kulevya!!!!!!!

Haya Waungwana;Hawa ni Ndugu zetu,Jamaa zetu,Rafiki zetu,
Jee nani Alaumiwe? Muuzaji au Mtumiaji?
"Swahili na Waswahili" Pamoja sana.

4 comments:

ray njau said...

Nasema tena nitasema tena lawama ni kwa jamii yetu kwa ujumla wake. Kwa kuwa ni sisi wenyewe kwa wenyewe tunacheza huo mduara.

Anonymous said...

Jamani tumuogopeni Mungu,tuache kupata fedhe haramu.Ona ndg zetu wanavyopotea.Tujifikilieni wote ni wazazi au walezi kwa njia moja au nyingine,tutamaliza vizazi vyetu wenyewe,Tumrudie M.Mungu

Mija Shija Sayi said...

Kila mmoja wetu anapaswa kulaumiwa kwa kweli maana hili si suala la mvutaji au muuzaji pekee, tusiwaachie wahusika, sisi pia ni lazima tuwajibike kuhakikisha jambo hili linatokomea..

Asante kwa mada mdada..

emu-three said...

Kuna muuzaji, mtumiaji, lakini yupo mtengenezaji...huyu mtengenezaji, ndiye anastahili kulaumiwa, na ikiwezekana liwe janga la kidunia,maata kidogo kidogo,mwishitakuwa ni tatizo.
Dunia ipige marafuku utengenezaji wa haya madawa, natumai kama `bwana'mkubwa atalisimamia kama vita vya ugaidi tunaweza tukafika mahali.