Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 30 May 2012

Jikoni Leo; ni Wasomali na Darasa la Mapishi na Utamaduni wao;Wazazi wa Marekani.na Da'Mariam!!!!!!

Waungwana "Jikoni Leo" ni Wasomali;
Wazazi/Walezi wa Marekani Wakiwafundisha Watoto wao Jinsi ya Kupika na Tamaduni za Kwao.


Pia da'Mariam naye Hayuko Nyuma kuonyesha/Kuwafunza watu wengine Jinsi "East Africa" wapikavyo.
 

Hapa nimeona Wasomali wanajitahidi kuwafundisha kupika watoto wa kike tuu,Sijui watoto wa kiume kwao Hawapiki?au bado wanamambo yaleee mtoto wakike "LAKE JIKO".

Waungwana Mmejifunza nini kwa haya ya Wenzetu Wasomali?

Karibuni sana kwa Maoni,Ushauri na Kuelimishana kwa Upendo.

Pamoja sana."Swahili na Waswahili."

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Binafi sijapenda mtindo huo wa kufundisha watoto wa kike tu. Nimerudi nyuma na kuona katika familia yangu mama yetu alitufundiaha sisi watoto wote kupika na hata kuosha sufuria ya ugali ahata chungu wote tulifanya hivyo na ukizingatia nina kaka watono. Je asitufundisha wote leo wangekuwa wageni wa nani? Ushauri wangu tuwafunze wanetu kazi zote akiwa wa kike au wakiume.

emu-three said...

Kweli kupika ni vyema kila mtu akajua, nakumbuka tukiwa jeshini, wapishi walikuwa wanaume....