Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Thursday 5 April 2012

Watoto na Mitindo,Kutoboa/Kutoga Masikio!!!!

Haya Waungwana;Wazazi/Walezi Unaonaje watoto kutoboa/kutoga masikio wakiwa Wadogo?jee Tunawafurahisha au Tunajifurahisha?ni vyema atoboe/kutoga yeye mwenyewe akikua au bora tuwafanyie labda wakikua watatulaum?
Karibuni Sana kwa Maoni na Ushauri.Pamoja!!!!!!

1 comment:

Goodman Manyanya Phiri said...

Kwani ni lazima, weee Kipenzi, watoboe? Mbona nilidhani teknolojia ipo kuweka chochote masikioni kwa mbinyo kidogo...au mbinyo ni mchungu kuliko kutoboa? Nitakiri lakini kama mwanababa, sijui kwamba mwanangu wa mwisho ametoboa au la.. nitamuuliza mama-mtu kesho asubuhi!