Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Tuesday 3 April 2012

Shilingi ya ua tena Maua!!!!!!!


Waungwana sina la kuongezea hapo!!Jee Pesa ni kila kitu?Karibuni sana kwa Maoni na Kuelimishana kwa Upendo.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mmmmhh! kwa picha hii ya chini ya hiyo mtoto hapo imenigusa sana mtoto hana mavazi na inavyoonyesha hajala muda. Hii yote inatokana na kwamba kuna watoto wengi na mwisho wake ndo huo...tusizae kwa kutaka sifa tufikiri pia ni vipi kuwatunza hao viumbe...Ruksa kuwa kinyuma nami...

Goodman Manyanya Phiri said...

Upendo ni kila kitu. Ukiwa na pesa au maskini, mradi ukiwa na upendo, basi una kila kitu