Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Swahili na Waswahili,Pamoja Daima!![Tuache kuua Ndugu zetu kwa Imani mbaya;Hawa ni Wapendwa Wetu/Ndudu Zetu,Kuwalinda na Kuwatunza ni Jukumu Letu..!]#Tuache Kuua#Walemavu wa Ngozi#Tanzania.!!

Wednesday, 21 March 2012

Waswahili na Maisha yao!!!!!!!

Hakuna linaloshindikana au?Asante mwanangu Amina kwa kazi nzuri,Joto sasa basi.Kumbe inawezekana!!!!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Amini usiamini hakuna lisowezekana!

ray njau said...

Ajaribuye hufanikiwa!!!!!!!!